Home Search Countries Albums

Mapenzi Bila Pombe (Uliskia Wapi)

B CLASSIC 006 Feat. REKLES

Mapenzi Bila Pombe (Uliskia Wapi) Lyrics


Fame shika tenje
Nataka nikusort ka sapa
Penzi letu sherehe 
Nishakuja na mbogi tunakata

Kwanze kwenye baridi mama
Nikupe mapenzi sio mchezo
Na vile unanitega mama 
Pale nikifika ghetto

Kati, katika 
Nipe za kiodi songa kabisa
Gandi gandisha
Nipe za mikogo nitag kwa Twitter

Ati mapenzi bila pombe (Ulisikia wapi)
Tena tuache kunywa pombe (Ulisikia wapi)
Mizinga zinachelewa (Ulisikia wapi)
Aki napenda kulewa (Ulisikia wapi)

Ati mapenzi bila pombe (Ulisikia wapi)
Tena tuache kunywa pombe (Ulisikia wapi)
Mizinga zinachelewa (Ulisikia wapi)
Aki napenda kulewa (Ulisikia wapi)

Nimeshinda nikicall mbona unaninyamazia
Unajua nikifall hapo ndio nakwamilia
Mi nitakukula juu umeiva nitakukula ki chef
Hizo group uko ndani uko right ukileft

Leta makali na ulete na chaser
Najua hatujali cheki form ni kulewa
Ju ni roho ina kafala flani wanakaa mbaya
Wako annoyed ju tuko pamoja wanakaa mafala

Before nilikuwa nakushuku
Sai jo nakudai
Ka unadai na unataka dudu
Nipigie baadae

Kati, katika 
Nipe za kiodi songa kabisa
Gandi gandisha
Nipe za mikogo nitag kwa Twitter

Ati mapenzi bila pombe (Ulisikia wapi)
Tena tuache kunywa pombe (Ulisikia wapi)
Mizinga zinachelewa (Ulisikia wapi)
Aki napenda kulewa (Ulisikia wapi)

Ati mapenzi bila pombe (Ulisikia wapi)
Tena tuache kunywa pombe (Ulisikia wapi)
Mizinga zinachelewa (Ulisikia wapi)
Aki napenda kulewa (Ulisikia wapi)

Oh nikubebe my dear
Kuna vile mi nimeshakuzimia
Oh nimelewa pia
Zimenikamata nakuwaza dear

Ati mapenzi bila pombe (Ulisikia wapi)
Tena tuache kunywa pombe (Ulisikia wapi)
Mizinga zinachelewa (Ulisikia wapi)
Aki napenda kulewa (Ulisikia wapi)

Ati mapenzi bila pombe (Ulisikia wapi)
Tena tuache kunywa pombe (Ulisikia wapi)
Mizinga zinachelewa (Ulisikia wapi)
Aki napenda kulewa (Ulisikia wapi)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mapenzi Bila Pombe (Uliskia Wapi) (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

B CLASSIC 006

Kenya

B Classic 006 is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE