Home Search Countries Albums

Koona Lyrics


Unapendeza kisura una tabia mzuri umeumbika baby
Nikiwa nawe nimefika nimefika
Walai sitamani
Kuwa fisi kama mswati my heart will always be with you
Baby only you
Coz everytime i come home I feel I'm in paradise
You my queen in my kingdom the way you treat me nice
Baby everytime I come home I feel I'm in paradise
Nikupende na kesho Koona

You my queen in my kingdom ntakupenda adi mwisho wa calendar
You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika
Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna
Acha nikupende leo Koona
Nikupende na kesho Koona
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona
Na nikupende leo Koona
Nikupende na kesho Koona
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona
Ushikapo shikamana
Kurandaranda haina maana
Kwa kila mafanikio yote ya mwanaume nyuma kuna mke bora
Ninavuna nilichopanda
Legea legea utavuna 
Ni mara ngapi nimekosea na hukuvunja ndoa
So let me take you out tonight sema unachotaka baby
Mapenzi yetu iwe tight
And like the sun you shine so bright
Unanipa tabasamu daily

You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika
Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna
You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika
Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna
Acha nikupende leo Koona
Nikupende na kesho koona
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona
Na nikupende leo Koona
Nikupende na kesho Koona
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona
Acha nikupende leo Koona
Nikupende na kesho Koona
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona
Na nikupende leo Koona
Nikupende na kesho Koona
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona

Mathogothanio

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2016


Album : Koona (Single)


Copyright : ©2016


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

ARROW BWOY

Kenya

Arrow Bwoy real name Ali Yusuf born born May 26th in Huruma Nairobi Kenya,  is a Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE