Accueil Recherche Pays Albums

Wema Wako

AKOTHEE

Wema Wako Lyrics


Shukrani Mola Baba
Kwa maisha tunayopitia
Tumepumua si haba
Baraka zako tunajivunia
Shukrano Mola Baba
Kwa maisha tunayopitia
Tumepumua si haba
Baraka zako tunajivunia

Kwa wazima na vilema aah
Kwa utunzi na heshima aah
Eh! Maskini wapokee, wapokee
Tuko mbele zako bwana
Shida utuondolee ondolee
Ooh matatizo bwana
Zile taabu balaa na njaa
Mashambani mavuno hakuna

Uhalifu umejaa kwa mitaa
Siku hizi amani hakunaga

Hakuna aaah eeeeh iyéé oooh
Amani iih

Baba nasema asante
Kwa yale umayatenda
Vile umenibless
Wema wako hupotei
Baba nasema asante
Kwa yale umayatenda
Vile umenibless
Wema wako hupotei

Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako hupotei

Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako hupotei


Kwa wazima na vilema aah
Kwa utunzi na heshima aah
Eh! Maskini wapokee, wapokee
Tuko mbele zako bwana
Shida utuondolee ondolee
Ooh matatizo bwana

Hakuna aaaah
 Eeeh iye ooooh
Amani iih

Baba nasema asante
Kwa yale umayatenda
Vile umenibless
Wema wako hupotei
Baba nasema asante
Kwa yale umayatenda
Vile umenibless
Wema wako hupotei

Wema wako wema
Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako hupotei

Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako hupotei

Baba nasema asante
Kwa yale umayatenda
Vile umenibless
Wema wako hupotei
Baba nasema asante
Kwa yale umayatenda
Vile umenibless
Wema wako hupotei

Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako hupotei

Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako wemaa
Wema wako hupotei

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Wema Wako (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

AKOTHEE

Kenya

East Africa's No. 1 Female Artist. Recording Artist/ Businesswoman Afrimma Awards Best Female ...

YOU MAY ALSO LIKE