Legend Lyrics

Hii ni mbogi ya malegend
Aah mapero wote ni ma legend
Aah ma matha wote ni ma legend
Aah mabuda wote ni ma legend
Aaah mamorio wote jo, legend
Aah ka hujui we ni legend
Aah ka hujui wee legend
Aah Jah bless all the legends
Ah boy ah boy ahh
Talk of the bridge talk of
The hit man ting
Don't forget the badman ting
Ah mama knows me a lagend
34 si unajua mbogi ni genje
Nipate studio session hadi late night
Beat yangu hutastep ka hurhyme tight
Serikali regalize iwake daylight
Man a gyalis atupee stori za gay rights
Ni kutinga, kutinga ka Olunga
Ni kutinga, tinga Tinga yaani Raila Odinga
Kutukinda, kinda serikali ni kutukinda
Motherland Africa buda t-- wachina
Si ni ma legend
Aah Dedan Kimathi ye ni legend
JM Kariuki ye ni legend
Tom Mboya ye ni legend
Uhuru Kenyatta ye ni legend
Raila Odinga ye ni legend
MIke Sonko, legend
Babu Owino ye ni legend
Hizi vita huwa genje
Wataki si tupenye
Piga power malegend
Ni cross hio ni genje
Napita na walenje
Mi nahepa hadi stenje
Nalegalise videadly
Utadhani mi ni peddy
Hao wakipiga debe vijana tuko mbele
Bila izo kelele
Kina Wangari Mathai
Obako, Rao Nyachae
Michuki belt bila tie
Abass Bamboo na Kantai
He is one of the guys
Who made me start writing lines
Kipchoge keep jogging
Kandenge na mpira napura na hasira
Ju khali anawazika
Naawaacha kwenye giza
Wanai-order kama pizza
Ah buda mi ni legend
Madonda wote ni ma legend
Madere wote ni ma legend
Jiaminie we ni legend
Mama mbohga we ni lehgeg
Mahustler wote ni ma legend
Wasanii wote ni ma legend
Jiaminiee we ni legend
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Legend (Single)
Copyright : (c) 2020 Bridge Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
34 GVNG
Kenya
African Music Crew 34 GVNG (Good Vibes No Gangs) is a music crew based in Kenya made up of artists s ...
YOU MAY ALSO LIKE