Kilofeshe Remix ft. Harmonize Lyrics
Yao yao... amapiano
Ahahaha Jeshi!
Yeah! Dawa ya kunywa pombe
Zishuke hapo kwa chini
Na usiombe ushike baby
Uikute ipo mwezini
We dada unafungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umefungwa
Hainaga macho, haionagi mbele
Unaweza ikuta igunga
Ukaikuta igunga huko (Usiseme hivyo)
Yani imeteleza hadi Igunga huko
Ukaikuta Igunga huko, olala eeh
Asa Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Fanya kama unabana miguu
Aya Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Isijefika kwenye kichuguu
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Olalaa, olaa lala
We in the club all night
Many things I don try
Omo boy don hide
Gas me up no time, no time
Oh wow, I’m trending
And I don’t know why, oh why
Oni so’kuso
Talo sope omo yen o m’orin ko?
Oni so’kuso
If you get machete, moni ibon
But k’emi sha ti lowo
K’emi ba le na’wo
I wan get, I don’t know
Life is Yolo
You don’t know tomorrow
Oh-oh-oh
Extra-ordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again
Extra-ordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again, again no-no
We dada unapofungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umefungwa
Hainaga macho, haionagi mbele
Unaweza ikuta Igunga
Ukaikuta Igunga huko (Usiseme hvyo)
Yani imeteleza hadi Igunga Huko
Ukaikuta Igunga huko, olaa lala eh
Asa Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Fanya kama unabana miguu
Aya Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Isijefika kwenye kichuguu
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Olalaa, olaa lala
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kilofeshe Remix ft. Harmonize (Single)
Copyright : (c) 2021 Marlian Music/ Konde Music Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE