Home Search Countries Albums

Better Days

WAKADINALI Feat. DYANA CODS

Better Days Lyrics


Take me back into your other game
I feel like am loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The -- get tougher, I cry
Lord knows am trying gotta keep my head up
Aah aah ah, the better days ahead
If I .....

Time inatiktok nadai kupaa before nifike 40
Na bado ni kupickpocket ma pill poken
Kujikoki but we still hoping
Watakuja kututoa hizi streets sote
Nikaambiwa ni wera tu nisijichoche

So East ni kupoa manze feel at home
Wameondoa wengi wetu but they can't kill us so
Maisha ngori mi nakula mikosi
Hakuna building jiji sijaingia human resource
Ka na smile ni ya vako bidii ninajiforce
Ka ni kuburn Babylon his story tunarepost

Mara eti niachage ujanja nichukue mbuku
Mi -- hata na kifua tupu
Wakule nyama si tukose hata kukunywa supu
Better days inakam kujitoa huku
Ama hata nifufue shosh akam thru' tuchukue 40

Take me back into your other game
I feel like am loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The -- get tougher, I cry
Lord knows am trying gotta keep my head up
Aah aah ah, the better days ahead
If I .....

Venye tunaendelea kupurura nashuku ozone
Imetutayarishia acidic rain
But wewe stori yako ni kusaidika 
Si faba ya biz men
Hakika mkopo kwa biashara daima ni hasidi 
Daily nitafurahi nikipata marafiki frequent
At -- hawafiki bei

Hata mmtusi sheikh kanisani
Kwa msikiti ana fans
Sihepi kwa -- mr bila thanks 
Front cover magazine hauskii kwa kila paga najibrand
I like the red straight and narrow---

Kuna watu hufanya dhambi ju ya chuki mwanangu
Wengine public bila adabu
Wanatishia life yangu, cruxify ni kama Yesu
Na mimi tu ni binadamu

Hauskii hapa hivi ndio upitie shortcut
Niko sure that hauwezi kuwa sober
Hadi upeleke dem baesa ndio utajua ni mlevi wa kawa
We ran cometical purposes pekee
Even the blind can see
Mr CEO chairman nashinda BVR kit
Na bado mi hudishi tikiti moto 
Sijai mindigi hygene
Back to the latter mi hukalia kiti moto
Kushinda ile ya IEBC
Back to the latter mi hukalia kiti moto
Kushinda ile ya IEBC

Take me back into your other game
I feel like am loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The -- get tougher, I cry
Lord knows am trying gotta keep my head up
Aah aah ah, the better days ahead
If I .....

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ndani ya Cockpit 2 (Album)


Copyright : (c) 2021 Rong Rende/Zoza Nation


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKADINALI

Kenya

Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...

YOU MAY ALSO LIKE