Home Search Countries Albums

Niko Ndani

VDJ JONES Feat. EQUE, MASTAR VK, KAPPY

Niko Ndani Lyrics


Look busy mmmh vile uko fresh
Look tippy mmmh si basi tujilaich
Twende hivi mmh uradi kujinyc
Ndio sisi, sisi mmh

Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani
Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani

Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani
Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani

Niko ndani deepsy
Nimekata Konyagi manze mpaka nko tipsy
Alafu kila wiki nipate nikihustle
Unaeza dhania ni lipsy, bae baby

Walai niko na bibi 
Na siachi jo Kwamboka 
Ju makwela ziko juicy mami
Leo nakuta Debbie
Hio pongi nikishika
Si utajua si kurahisi

Haha hivyo ndo mi huwacheka
Oka haha mbio kama mbeca
Vibe yangu inakudunga inaguthesha
Na mi si sere kama pin ya MPESA

Kama bouncer nikirap mi ndo barbie
Nawapiga kimistari kama radi
Flow yangu inakuvaa kama shati
Sina rasta but mi ni mnati
Eque kabaya niko inde niko ndani

Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani
Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani

Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani
Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani

Nilitoka Lang'a kuja jiji kutafuta pesa
Mistari zangu kali sikuhizi naskizwa na chaser
Na tangu zimepanda si ati nini mi natesa
Niko ndani biashara very soon ka impreser

Mtabaki daily mkibonga, mkibonga daily nasonga 
Na doba bado inagona mistari bado nachonga
Kutema buda sitachoka mistari bado naroga
Ukiniona buda toroka niko ndani buda ogopa

Cheki ni ngoma nzito gege na maringo
Zi huchocha zi hufamimi
Si ulete naskia thithi 
Leo mi nayo na hii hii

Shanti si ati nini 
Ni mzing nilikam na mi 
Form ilijipa Jones akapewa
Mzinga zilikam ati alikasirika

Si unajua genge ni mbaya

Mmmh! Ndio sisi, sisi mmh

Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani
Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani

Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani
Ka ni form buda niko ndani
Niko ndani, niko ndani, niko ndani

(King Pheezle on the beat)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Niko Ndani (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

VDJ JONES

Kenya

The Baddest VDJ outta KENYA,Bringing all genre mixes. Professionally produced and high quality for a ...

YOU MAY ALSO LIKE