Niambie Lyrics
Hapa Nyumbani unajua
We njo moyo
Jamaa inakupenda piya hauoni
Niambie jua nini unataka wende
We dada Uki enda na Mbali
Mi nta gonda
Safari yako Mbone shida we dada
Niambie jua nini unataka wende
We dada Uki Enda Fata Njia
Ile uta acha watoto
We dada Uki Enda Fata
Njia Ile Utanivunja Moyo
Umeona machozi ginsi in a shukaa
Watoto wetu wata baki na nani
We njo fuhaha yetu baki basi
Tu ongeye
Baki Tukae pamoja
Mpaka mwisho
Najuwa mi Sikupe wakati
Zongeya
Nimabiie jua nini unataka wende
We mama ukibeba mapenzi
Yako mbali
Dunia itakuwa Giza hanuone
Niambie jua nini unataka wende
We dada Uki Enda Fata Njia
Ile uta acha watoto
We dada Uki Enda Fata
Njia Ile Utanivunja Moyo
Umeona machozi ginsi in a shukaa
Watoto wetu wata baki na nani
We njo fuhaha yetu baki basi
Tu ongeye
We dada Uki Enda Fata Njia
Ile uta acha watoto
We dada Uki Enda Fata
Njia Ile Utanivunja Moyo
Umeona machozi ginsi in a shukaa
Watoto wetu wata baki na nani
We njo fuhaha yetu baki basi
Tu ongeye
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Motion (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TRESOR
South Africa
Tresor real name Tresor Riziki. TRESOR, meaning “treasure” in French is a multi platinum ...
YOU MAY ALSO LIKE