Home Search Countries Albums

Upendo

SPICE DIANA Feat. ZUCHU

Read en Translation

Upendo Lyrics


Lelelelele, lele lelelele
Lelelelele (Mocco)

Umepata mabinti 
Lakini mimi napiga kama kush
Nimeshika maball
Si wa Kampala wote nikawacrash

Jina langu ni Diana
Nimekuana toka jana
Sasa ka hatungekutana
Kila kitu baby we are gonna do

Upendo, upendo
Upendo sio magic huu ni upendo
Upendo, upendo
Upendo sio magic huu ni upendo

Mapenzi mapenzi
Yamenizidi kwa kichwa mi mwenzenu siwezi
Mapenzi mapenzi
Yamenizidi kwa kichwa tena siwezi

Akinipa karoti
Naidandia naikula kavukavu
Na misambasulti
Uma nalia aichane mpaka nyavu

To the left kulia, kulia
Atakacho mie sawia, sawia
Kama kasheti, vibagia, bagia
Eeh chachanu hunimwagia ooh

Baby --

Upendo, upendo (Nimeupata)
Upendo sio magic huu ni upendo
Upendo, upendo
Upendo sio magic huu ni upendo

Amenitouch touch ooh
Amenigusaa gusa
Amenitouch touch ooh
Amenigusaa gusa

Amenitouch touch ooh
Amenigusaa gusa
Amenitouch touch ooh
Amenigusaa gusa

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Upendo (Single)


Copyright : (c) 2021 Source Management/WCB Wasafi


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SPICE DIANA

Uganda

Born Namukwaya Hajara(1996)  popularly known as Spice Diana went to kibuli Demonstration s ...

YOU MAY ALSO LIKE