Home Search Countries Albums

Blow Up

RICH MAVOKO Feat. FID Q

Blow Up Lyrics


Maliza mishe mishe unipitie
Kabla hujatoka unitwangiee
Kuna chodo tujichimbiee
Kuku wengi ujichinjiee

Jieni tuka blow up
Tuka blow up
Night tuka blow up
Tuka blow up

Agwe mi angu choni msanga mi siendi tena
Michezo ya shimoni ukichanga ukopeshwi tena
Isibaki changamaa ooh, changamaa
Tushikane mashati tuje pigana
Maagiza ndama leo nachoma nyama
Uchu mchana mchana naona mkiminyana
Fanya bidii jitahidi
Ifike mida ya kigida tufahidi

Jieni tuka blow up
Tuka blow up
Night tuka blow up
Tuka blow up
Wengi tujichinjie
Jieni tuka blow up
Tuka blow up
Night tuka blow up
Tuka blow up

Tangu underground kabla sija blow up
Niliamini kwa hizi sound watoto wa town
Wote wata show up
Nilipo na nikaimbisha crowd visiki nikaving’oa
Ile simple tu wakanivisha crowd mbishi nikaitoa
Wako wapi mashpapi?
Waje kati slow slow
Ulisema haunitani usinifuate
Happy usinifosi force
Peku unatembea ka(ma) mpoto ukihisi miba vaa
Nyumba iliyoteketea kwa moto
Haina shida ya mkaaa

Twende tuka blow up
Tuka blow up
Tukalipuke mwanangu
Mambo sio poa
Night tuka blow up
Tuka blow up
Chichi jingi, mixer nyingi hadi una-throw up

Jieni tuka blow up
Tuka blow up
Night tuka blow up
Tuka blow up
Wengi tujichinjie
Jieni tuka blow up
Tuka blow up
Night tuka blow up
Tuka blow up

Ayaya ayaya eeehh
Ayaya ayaya eeehh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Fundi (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

RICH MAVOKO

Tanzania

RICH MAVOKO is  a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE