Home Search Countries Albums

Ariff

PRIME MC Feat. MAGIX ENGA

Ariff Lyrics


Tukate maji na ukiwashe ariff
Najua zitashika zitabamba ariff
Watoto wazuri wamejibeba ariff
Najua zitashika zitabamba ariff

Tukate maji na ukiwashe ariff
Najua zitashika zitabamba ariff
Watoto wazuri wamejibeba ariff
Najua zitashika zitabamba ariff

Leo nakata maji buda leo nakata chingri
Mfuko ina maganji morio nina mangiri
Kama amejibeba anapigwa miti si siri
Venye nimepiga looku ananiitaga jiri

Kijana wa rieng leo nadai sichezi chini
Kama uko karibu nitanunua ka Jimmy mbili
Matire ni lazima mi nauliza ama vipi?
Fala akinipima mi najua atapigwa kidi
Kwela nikijigonga lazima nivae CD
Kesho nikikufa jo utaanza kuniita G3
Bado nina nguvu kama kijana wa ma3
Walai nina pupa labda nisimame hvi

Arrif just pass the blunt
Lets get aire
And don't let nobody come and kill the vibe
Some good vibes

Niko madre kama chokocho ile choche
Zimelipuka kama kichwa ya Akothee
Watoto wazuri wamejibeba nisichoche
Mahaga kubwa kama mtoto wa Keroche

Fala akinipima anapigwa ngumi ya konje
Tenje na walenja kwa kinena tutoke
Asubuhi kwa soko lazima jo niomoke
bei ni ya mtupe bora hizi vitu zisonge
Ikifika afte ni lazima tuchonge
Ongezea Konyagi na masigara ka zote
Tire ni mambichwa ni lazima niwachome
Usiku kwa bar tunachafua pole pole
Kwela ikining'ora mi namwambia pigwa ndole
Vitu za kunyora zishikana zikonyore
Watoto wa rieng ndo nataka sitaki bore
Wakileta mbaya mi nasema wanichoree

Tukate maji na ukiwashe ariff
Najua zitashika zitabamba ariff
Watoto wazuri wamejibeba ariff
Najua zitashika zitabamba ariff

Tukate maji na ukiwashe ariff
Najua zitashika zitabamba ariff
Watoto wazuri wamejibeba ariff
Najua zitashika zitabamba ariff

Tukate maji na itubambe jo kibuda
Watoto wazuri wana nyege kama Huddah
Na wako maji kama za Ukunda
Nyuma amejibeba ni lazima nitamkuna
Mfuko ina mapesa morio leo nina mabunda
Anataka ganji ye hataki kupigwa lugha
Samaki na kuku ndo anapendaga chakula
Nikicheza fiti najua usiku nitaikula
Nibambue mamorio ndio kesho atoe ushuhuda
Venye nilithogothania area za Bamuda
Kijana wa rieng mtihani siwezi dunda
Waambie ushakubali tena utanipea matunda

Arrif just pass the blunt
Lets get aire
And don't let nobody come and kill the vibe
Arrif just pass the blunt
Lets get aire
And don't let nobody come and kill the vibe
Some good vibes

Tukate maji na ukiwashe ariff
Najua zitashika zitabamba ariff
Watoto wazuri wamejibeba ariff
Najua zitashika zitabamba ariff

Tukate maji na ukiwashe ariff
Najua zitashika zitabamba ariff
Watoto wazuri wamejibeba ariff
Najua zitashika zitabamba ariff

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ariff (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PRIME MC

Kenya

Prime Mc is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE