Home Search Countries Albums

Kila Siku na kila saa

PAUL MWANGOSI

Kila Siku na kila saa Lyrics


Kila siku kila saa 
U mwaminifu Bwana 

Asubuhi mchana na jioni
Kila majira na kila wakati Bwana 
U mwanifu Bwana 

Unanilinda kila leo Bwana 
Uanitunza kila wakati Bwana
U mwaminifu Bwana 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Kila siku na kila saa (Single)


Copyright : ©2018


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

PAUL MWANGOSI

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE