Ameniwaka Huru Kweli Lyrics

Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya
Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa

Nimeokoka, nafurahi! Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote

Zamani nilifungwa sana kwa minyororo ya shetani
Nikamwendea Bwana Yesu, akaniweka huru kweli

Neema kubwa nilipata kuacha njia ya mauti
Na nguvu ya wokovu huo yanichukua siku zote

Na siku moja nitafika mbinguni kwake Mungu wangu
Milele nitamhimidi na kumwimbia kwa shukrani

WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Ameniwaka Huru Kweli (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
PAPI CLEVER & DORCAS
Rwanda
Clever is a Rwandan vocalist, quitarist, songwriter, producer and worship leader married to Dorcas ...
YOU MAY ALSO LIKE