Home Search Countries Albums

Rada ni Gani

OCTOPIZZO

Rada ni Gani Lyrics


Pizzo De! Gang! 8Town
Yeah yeah yeah yeah
Eh jo ambia ile raia ya Bethlehem bana 
Si tuko Gaza, si tuko ga si tuko Gaza
Rada ni gani? Rada ni gani? Rada ni gani?
Pizzo De, 8Town

Ka unadai mziki ni mchafu
Ka chini cheza ndogo rada ni chafu
Ka unadai mziki ni chafu wee
Ka chini cheza ndogo rada ni chafu
Rada ni gani? Chafu chafu chafu chafu sana
Rada ni gani? Chafu chafu chafu chafu sana
Rada ni gani? Yeah yeah yeah 
Rada ni gani?

Allahu wa Akbar Rada ni Kanzu
Ingiza ndani rada ni curfew
Ngoma mpya inatoka lini cheza na iTunes
Kibera ndani Quran somaga Mathew
Ambia John Mark na Luke walete perfume
Vacuum niki nut cheza na cashew
Youtube finya play ongeza eye views
Ivy League rapsta Ongeza IQ
Hii ni brand new coup dreams
Mood swings, no strings
Pizzo De King king, Mr Ching Ching
Chinatown demigod niko Beijing
Sina sauti kwa soul, suti za Moi
Mada navuka roho shada nacada kwa koo
Weight nakata kwa choo
Striper kujana pole, toka na ball
Ndom pedi na roll kuja na bong

Ka unadai mziki ni mchafu
Ka chini cheza ndogo Rada ni chafu
Ka unidai mziki ni chafu wee
Ka chini cheza ndogo Rada ni Chafu
Rada ni gani? Chafu chafu chafu chafu sana
Rada ni gani? Chafu chafu chafu chafu sana
Rada ni gani? Chafu Chafu
Rada ni gani?

Tema natema natema natema wape ketepa
Msupa anasema ntasema ntasema kama anahema
Mi siogopi then mbona unahepa?
Leave me alone nacheka nacheka
Kila day niko kazi hadi Labor day
Shika ball 9 months msupa labor day
Cardi meda day burn it renegade
Waka ipepete hadi iteketee

Papi Chulo Don Don pizzo anyday
Skiza barz brainstorm hii ni rainyday
Anyway mi humake doo in many ways
Pedigree nina dogs in every place
Mediccate mbwa in kali in every gate
Chini waba daily coz navigate

Kabla unigote, Kuja na form
Ambia hao wasanii wameka kwa bench
Wajazage form
Mariga bado na ball
Unaringa utapata ball
Wrong namba bado na call

Ka unadai mziki ni mchafu
Ka chini cheza ndogo rada ni chafu
Ka unadai mziki ni chafu wee
Ka chini cheza ndogo rada ni chafu
Rada ni gani? Chafu chafu chafu chafu sana
Rada ni gani? Chafu chafu chafu chafu sana
Rada ni gani? Yeah yeah yeah
Rada ni gani?

Pizzo De!
You know it you know it you know it
Gang Gang!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Fuego (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

OCTOPIZZO

Kenya

Henry Ohanga, commonly referred to by his stage name Octopizzo is an award winning, recording and pe ...

YOU MAY ALSO LIKE