Nipe Yote Lyrics
(Kimambo on the Beat)
Haya Mapenzi kama bahari inazama, acha yanipige
Nimeshakwama penzi la huyu mvulana, sijui nifanyeje
Unanishangaza eeeeh eeh, tamu switi mi nakolea!
Unaniliwaza eeeh eeh, jinsi mambo unavonipea..
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla
Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla
Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
(Oh baby tena) Nataka kidogo
(Aaah ah!)
Nipe tena (Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena
Yote Yote!!
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Yote Yote)
VERSE 2:
Aah haina maana, umenishika tighti
Umenibana unanifanya, kwako sifurukutii
Unaponimaliza, kwa sauti ukiniita
Yaani kama diva, Cinderella Sinyorita
Penzi letu limenona, nani kama wewe
Unanifanya mi nakoma, kufata mwengine
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla
Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla
Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
(Oh baby tena) Nataka kidogo
(Aaah ah!)
Nipe tena (Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena
Yote Yote!!
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Yote Yote)
(Oh baby tena) Nataka kidogo
(Aaah ah!)
Nipe tena (Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena
Yote Yote!!
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Yote Yote)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nipe Yote (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NADIA MUKAMI
Kenya
Nadia Mukami Mwendo is a Kenyan vocalist, singer, songwriter, singer & performer. Born in Pumwan ...
YOU MAY ALSO LIKE