Home Search Countries Albums

Ndakhuyanza

MUMO BEATZ Feat. ECHO

Ndakhuyanza Lyrics


Tango nijuane nawee nafarijika mwenzio
Tangu nijuane nawee yani naenjoy naenjoy
Yani wewee, walai wewee
Yani wewee, sikuachi leo wala tomorrow
Zinawaumaga roho wanatamani tuachane hadi leo
Ila wambie you love me eh i love you too mwenzioo
Unanipa raha isonakifani unanipa maburudani
Nkikosa samani honey niwewe ndo ulonijaa kichwani
Yani upo ndani ndani baki na mimi tu
Kipenda roho umependwa na moo moyo
Kwako niakua loo loyal kipenzi wee
Tiba ya roho umependwa na moo moyo
Kwako niakua loo loyal kipenzi wee

Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Ndakhuyanza, ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Ndakhuyanza, ndakhuyanza

Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani
Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani
Kwa hubaa, na mazoea uwe wangu wa milelee
Kwa hubaa, na mazoea uwe wangu wa milelee
Tufanye hadharani waone wenye wivu nasi iwachome
Tule mananasi wale kone ya waja waache waongee
Kipenda roho, umependwa na mo moyo
Kwako niakua loo loyal kipenzi wee
Tiba ya roho umependwa na moo moyo
Kwako niakua loo loyal kipenzi wee

Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Ndakhuyanza, ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Babe  ndakhuyanza
Ndakhuyanza, ndakhuyanza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Ndakhuyanza (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MUMO BEATZ

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE