Mwema Lyrics
Ohh wooih mmh
Wako mwana ukamtuma duniani
Kisa na maana nipate uzima jamani
Wako mwana ukamtuma duniani
Kisa na maana nipate uzima jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi
Ishaara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Umekuwa mwema kwangu
Umenitoa gizani nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini kwako nikajificha
Sasa nitakupa nini iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni sifa nitakuimbia
Ilikugharimu msalabani unifie
Hivo inanibidi sifa nikuimbie
Wema wako niseme ili na wengine wakujue
Wote waungane nami na wazee ishirini na nne
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Umekuwa mwema kwangu
Acha niringe umekuwa mwema kwangu
Oh Yahweh ooh kwangu
Oh umenitendea kwangu
Acha niimbe siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema,
Na siwezi jizuia kusema wako wema,
Sio kama najigamba umenitenda mema,
Siwezi jizuia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2014
Album : Mwema (Album)
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE