Home Search Countries Albums

Madem wa Kanairo

MASTAR VK

Madem wa Kanairo Lyrics

Siku hizi kungori jo venye mangeus hufanya hadi tunajimada
Mali ni safi na venye inapigwa kichain ni kama kishada
Ni juzi nilikuwa na ngeus lakini ninachezwa ka karata
Katoto ametoka Kanairo lakini ye hupenda kukata

Sauti nyororo wakianza kubonga sisongi ju ashanikamata
Simamishwa roro mistari natupa na mamate jo zikifuata
Akinitoka atafanya nipandwe na presha nidoz Kenyatta
Ye hukuaga ameivisha hata kama ni mboga unacheki akikatakata

Ye ni mnyonge sana, heri ata ng'ombe ndama
Umeshindwa ukichezwa ukituma hio fare utakuja ujifunge na kamba
Simu inapiga VK nataka kukuona ju leo niko horny
Niko kwa moti nakuja we ni mhot ka moto jikoni
Ako na bwana lakini anasema huyo ni wake nyumbani
VK ni wake nikizamisha tumboni

Siku hizi kungori jo venye mangeus hufanya hadi tunajimada
Mali ni safi na venye inapigwa kichain ni kama kishada
Ni juzi nilikuwa na ngeus lakini ninachezwa ka karata
Katoto ametoka Kanairo lakini ye hupenda kukata

Siku hizi kungori jo venye mangeus hufanya hadi tunajimada
Mali ni safi na venye inapigwa kichain ni kama kishada
Ni juzi nilikuwa na ngeus lakini ninachezwa ka karata
Katoto ametoka Kanairo lakini ye hupenda kukata

Katoto ka coco butter amezunguka sana Kanairo akitekwa
Utadhani anatumia ngata
Ametekwa na Kevo, ametekwa na Kevo, ametekwa na Brayo
Ametekwa na Masha

Ni ka tunacheza kati, kako katikati
Tunarusha ye anahepa, ye anahepe ball hazimpati
Ye tu hupenda ngwati quickie hadi kwa parking
Daily twende loo, twende mbali na umati
Ye hupenda ngono, ile kitu nono
Anailamba hata ka hajaishika na mkono

Siku hizi kungori jo venye mangeus hufanya hadi tunajimada
Mali ni safi na venye inapigwa kichain ni kama kishada
Ni juzi nilikuwa na ngeus lakini ninachezwa ka karata
Katoto ametoka Kanairo lakini ye hupenda kukata

Siku hizi kungori jo venye mangeus hufanya hadi tunajimada
Mali ni safi na venye inapigwa kichain ni kama kishada
Ni juzi nilikuwa na ngeus lakini ninachezwa ka karata
Katoto ametoka Kanairo lakini ye hupenda kukata

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Madem wa Kanairo (Single)

Copyright : (c) 2022

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MASTAR VK

Kenya

Mastar Vk also known as 'Afande' is one of the hottest rapper in Kenya hailing from Kay ...

YOU MAY ALSO LIKE