Madiaba Lyrics

Tingisha madiaba, hizo madiaba
Tingisha madiaba
Tingisha madiaba, hizo madiaba
Tingisha madiaba
Nime-invite masexy wale wamekosa mabwana
Niwa sexy hapa form ni kushikana
Ah kulambana, kulambana
Hata John amejikata ati eh
Kuwubble wubble na mangeus ni waroro
Wametoka mtaa inaitwa shimagogo
Na wakijam wanakula magogo
Dem ni mfupi naona tudredi
Amesundwa kw kona na Fredi
Anataka kushikwa jegi
Washa kiwake
Napiga huyu madam ni ka risasi, pah
Shoot sheitan, Pah
Hadi anatokwa na makamasi
Tingisha madiaba, hizo madiaba
Tingisha madiaba
Tingisha madiaba, hizo madiaba
Tingisha madiaba
Chrome Gin ndio pombe wamekata
Wameteveva hadi mtoto wa pastor
Dinginya ndinginya
Dinginya ndinginya ah
Shika duster mtoto wa pastor
Twende fasta ju ulikula sadaka
Dinginya ndinginya, my baby
Dinginya ndinginya, zungusha
Nyakati ni za mwisho
Tingisha madiaba, hizo madiaba
Tingisha madiaba
Tingisha madiaba, hizo madiaba
Tingisha madiaba
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Madiaba (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MAGIX ENGA
Kenya
Magix Enga real name Njenga Chege aka Beat King is a music producer and a Singer from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE