Sultan Lyrics

Napenda mashilingi ma Naira Pounds
Mahali jo imefika nadai Sultan
Mali si ya mtu nang'ang'ania
Na siko na pupa brathe tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Aii we tulia, tulia
Aii we tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Utanipata kwa kona na chali yako
Nikimzungushia baby boy shika tako
Roumour zikianza headline ni jina yako
Lakini ukilalisha mi napita na beshte yako
Aah Mako, Wambo amebeba utadhani ni Aoko
Na ni wa mjengo ananibeba ka kokoto
Bra ni see through ju mi sipendi joto
Uliza hata Bahati toto si toto
Shika waist side to side
Drop it down chunga usislide
Balance kiasi peleka mbele
Tingiza na utese hii mambo haina kelele
Shika waist side to side
Drop it down chunga usislide
Balance kiasi peleka mbele
Tingiza na utese hii mambo haina kelele
Napenda mashilingi ma Naira Pounds
Mahali jo imefika nadai Sultan
Mali si ya mtu nang'ang'ania
Na siko na pupa brathe tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Aii we tulia, tulia
Aii we tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Head shoulders knees and toes
I got hoes for all your broes
Madem wa Kanairo ogopa zoe
Atafanya vitu hujaona before
Sura baadae baba uko na doh
Nicall once a month otherwise utaniboo
Na niko na Shaf ka unadai tapo
Hii ni buffet we serve and go
Ati uko? Uko na Chalo
Anasema ananijua me I don't know
Maybe nilipita na yeye campo
Vako za kulimana mkiitana bro
Napenda mashilingi ma Naira Pounds
Mahali jo imefika nadai Sultan
Mali si ya mtu nang'ang'ania
Na siko na pupa brathe tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Aii we tulia, tulia
Aii we tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
Brathe tulia, tulia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sultan (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE