Hivi na Hivo Lyrics
Yeah uh, kabaya
(Its Jegede on the beat)
Siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
Kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
Kuwakunywa bila maringo
Naipeleka hivi na hivo uh
Hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Uh nina vitu mbili nadai tuongelee
Tangu bei ipande sijali gathee
Nina shida zangu usiniongezee
Pambana tu kivyako aki niondokee
Dishi sio yako ushaanza Amen
Nilikuwa nimesota nilikuwa na plan
Tukibuy mambwakni na surwa ya ten
Saa hii ni nyama kilo imewekwa kayen
Si mi hupita nao, hivi na hivo
Chain ikienda hivi, lazima irudi hivo
Figa Cocacola na amebeba zigo
Katoto karembo
Siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
Kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
Kuwakunywa bila maringo
Naipeleka hivi na hivo uh
Hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Alikuseti aki Stacy, nilikukanya kupendana na mathegi
Ikiwa tamu sana jua mko wengi
Ma sweet nothing
Aki you drive me crazy
Hivi na hivo ndio ulibebwa baby
Chezwa bano cracky no pay
Kiburi hukuja ukidaiwa deni
Saa moja mi ndio headline kwa telly uh
Na ukiulizia watasema, manzi wa Nairobi ameweza
Cheza na MPESA, Fuliza wanajua mi ni member
Spirit of a Nation nikituliz tu kwa keja
Si mi hupita nao, hivi na hivo
Chain ikienda hivi, lazima irudi hivo
Figa Cocacola na amebeba zigo
Katoto karembo
Siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
Kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
Kuwakunywa bila maringo
Naipeleka hivi na hivo uh
Hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
Kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
Kuwakunywa bila maringo
Naipeleka hivi na hivo uh
Hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
Naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
Hivi na hivo, hivi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Hivi na Hivo (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE