Home Search Countries Albums

Densi Lyrics


Dj Lyta pon di yard, pon di yard

Niruhusu nikutusi kudadade
Shika goti piga mdadadeki
Room bila nduru chali kujiseti
Alijanja naona sasa tucheki

Hii ni kali ama chizi ya bazu ya madon
Wacha sa tudensim eeh
Sakata rhumba usiketi, eeh
Pandisha juu hio sketi, wewe

Hii ni kali ama chizi ya bazu ya madon
Wacha sa tudensim eeh
Sakata rhumba usiketi, eeh
Pandisha juu hio sketi, ayayaya

Everything pressure than I have ever seen
Representing fi di gyal ting
On the scene Mbuzi genge riding
Do the right thing, shake your butty righty

Brukout brukout, with your fatty bum bum
Steadily steady nabaki nimesteady
Nyonga na madredy warazi mi sipendi

MMmh I don't know where my pen is
Na mi nachora verse, nachora verse
Ukinitumia hio cash money
Siwezi reverse, siwezi reverse

Hii ni kali ama chizi ya bazu ya madon
Wacha sa tudensim eeh
Sakata rhumba usiketi, eeh
Pandisha juu hio sketi, wewe

Hii ni kali ama chizi ya bazu ya madon
Wacha sa tudensim eeh
Sakata rhumba usiketi, eeh
Pandisha juu hio sketi, ayayaya

Ah kudadade we ni mafi nini?
Na ukiparara mbona usijipake vaseline
DM kila time na tuma verse nini
Amini usiamini hii mark ni mini

Shida ni mimi najua huwezi shinda na mimi
Shida ni nini kwela hawako kusini
Kaskazini kaska huna makwela
Party fi di gyaldem hapa kuna msela

Chipo amechipo chipo na kuna masala
Mashallah amebeba hadi silaha
Sina furaha amejaza kama Afraha
Si malaya alianza kule Ulaya

Hii ni kali ama chizi ya bazu ya madon
Wacha sa tudensim eeh
Sakata rhumba usiketi, eeh
Pandisha juu hio sketi, wewe

Hii ni kali ama chizi ya bazu ya madon
Wacha sa tudensim eeh
Sakata rhumba usiketi, eeh
Pandisha juu hio sketi, ayayaya

Ah si wikendi nishableki
Nikiwanga mlevi chura hugeuka keki
Ka ni wa chain niruhusu nikuseti
Mi hukuwanga straight to the point kama jegi

Cheki ukidye nywele bado mi sikudaidai
Ukinicross nina mbogi itakuchai chai
Mapekenye chora chini uko shy why
Na I become fine by age kama am fine wine

Omosh akishakunywa kemikal, si atat@mba deni
Mi mkali mi don kwa hii serikal
Na mi sikupi deni

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Densi (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KRG THE DON

Kenya

Krg The Don aka Lobos whose real names are Karuga Kimani ( born January 14, 1991) ,  is a ...

YOU MAY ALSO LIKE