Noma Lyrics
Kutimba timba na genge
Mamba wengi usije na kenge
Kupendeza hata vitenge
Kwenye kijiji haturuki mwenge
Si watoto wa ghetto kutaka
Ukitolewa beto acha kung'aka
Huku mkwara usichimbe
Uwe na namba zikukinge
Tunaruka kopa kwetu everyday
Noma, enjoy noma
Enjoy noma
It's normal life, issa weekend
Ka si noma ni noma sana
Na hio nyama si umechoma sana
Kwani we Tanasha unadona sana
Dj cheza ngoma unabonga sana
Si kila te shot, tunajisunda ka ndimu
Hakuna sport tunaingia ka simcard kwa simu
Mi si Benzema lakini mi mkarimu
Ulizia king kaka mwalimu
Ukikaa kaa kwa baba ba
Utapapa pata dada
Akikupa basi papakata
Chunga ba basata
Tunaruka kopa kwetu everyday
Noma, enjoy noma, enjoy noma
Tunaruka kopa kwetu everyday
Noma, enjoy noma, enjoy noma
Ka si noma ni noma sana
Na hio nyama si umechoma sana
Kwani we Tanasha unadona sana
Dj cheza ngoma unabonga sana
Tuko Moshi tumedunga moschino
Na masilver zimejaa kwa jino
Na watoto macho filipino
Nipe yote mami no kipimo
Wiki yote nimesaka bread
Sasa ni kusaka pedi
Baby basi shake your legi
Alafu chunga swara za mavedi
Tunaruka kopa kwetu everyday
Noma, enjoy noma, enjoy noma
Tunaruka kopa kwetu everyday
Noma, enjoy noma, enjoy noma
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Happy Hour (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KING KAKA
Kenya
King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE