Home Search Countries Albums

NJIA Lyrics


[VERSE 1]
Okey
Nimegrow empty of late
Na my soul ni see through
My mum is still sick ikifika usiku
Four niko by my bed side just in case
Na honestly na miss our happy days
You are a fighter mum, manze God akubless
As much as me ni Big Boss na learn
Usiku huwanga na toss na turn
Na ukifeel pain
Huwanga na ifeel pia
Sa zingine hata hope inadidimia

Hakuna story maana hapa manze me hulia
Na kama size inapeleka wasee huko kwa sky
Kwani dawa ya mum ndo mmeshindwa ku hire?
Ata nimechukua car keys mum niko kwa ndae
Na God siku question najua we ndo answer
Lini miracle itaanza?

[CHORUS]
Nipe jibu kama Baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia nitapitia
Nipe jibu kama Baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia nitapitia

Swali nina maswali
Swali nina maswali
Swali

[VERSE 2]
Okey
Nimegrow empty of late
Na my soul ni see through
Hii safari bila taa ni kama msitu
Ulisema you are the way, the truth, the life
Macho yangu iko kwa sky nionyeshe ka light
And am not questioning, sijai kudub kabisa
Niliambiwa stude mzuri ni maswali atauliza
How comes, mum, anaugua miaka zote
How comes, mum, haponi na hizi dawa zote

Na hawa madaktari wanani take in cycles
Sijaweka imani kwao, nimeweka imani kwako
Sometimes niko impatient juu hauko on time
Labda sijafikiwa, request yangu iko ka line
You've shown me before, show me one more time
Umenibless sikatai lakini vile mum anaugua haifai

[CHORUS]
Nipe jibu kama Baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia nitapitia
Nipe jibu kama Baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia nitapitia

Swali nina maswali
Swali nina maswali
Swaliii

[BRIDGE]
Unajua...
Najua God umenibless yaani and am not...
Ati...ati nakuzushia or anything ...sikuzushii manze
Najua this is a song ...and nafaa ni rhyme and all
But I feel....nataka tu tuhave one on one yaani
And...and am not being ungreatful yaani
Me wasee wanacheki life yangu and they see I have a beautiful family nini
But God please manze.....ata kama ni test its enough yaani
Si we ndo the answer....hii test umenipea ni kama nimefail yaani
We ndo the answer...
Please...please....tafadhali...please manze
(woooh uwoo uwoooh owooo )

[CHORUS]
Nipe jibu kama Baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia nitapitia
Nipe jibu kama Baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia nitapitia

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Eastlando Royalty (Album)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE