Home Search Countries Albums

Sifu Bwana

KHALIGRAPH JONES Feat. NYASHINSKI

Sifu Bwana Lyrics


Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima

Nakusifu whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe
Nakusifu, nikikanyaga kanyaga chini non-stop
She tani akemewe, nakusifu
Juu hii mboka imejipa ina ni nice nikijua for my freedom
That you had to pay the price
So ukiona nimechizi nikisifu usishangae
Usishangae kuniona na upako
Na ukitaka mpe maisha yako
Na si utani ndio upate thamani
Usiwache shetani aku-kalie chapo yeah
We ndio hujua ma hali huniweka
Sitishiwi na mali ama pesa
Ju, ya dunia ni ya kupita
Ipo siku mbinguni nitafika
Kanfanya msafi dhambi ukanfuta
Siwezi kukupay for all this grace facts
Maisha yangu we ndio controller
Haijalishi nini me naface
Sa mi ni mali ju yako wee
Omera tuliwacha ku sandoree
So tumsifu bwanaa

Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima

Nakusifu tena kila siku wee ndio kila kitu
Nakusifu, tena kila saa vile inafaa
Juu vile inafaa nataka nisifu, nakusifu
Daily naona mkono wako yeah
We ndio unafungua milango yeah
Bado unatenda maajabu, amen
Siezi ata count time nimefikiria najua ukanishow
Wee ndio bado bazeng
Kaa niko down, au niko juu
Haina issue najua vile hii story ina end
Twende na plan yako juu yangu ni
Kufuata penye unaongoza my friend
Yake ndio crown, hizi zingine hazinanga
Uzitombele ya elohim
Naona mablessing, naona mapenzi
Amazing grace ni sound track ya play ya maisha ya mine
Maanzanga days na prayer na smile na peace of mine
Daily naona mkono wako
We ndio unafungua milango
Bado unatenda maajabu, amen

Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima

Nakusifu whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe
Nakusifu, nikikanyaga kanyaga chini non-stop
She tani akemewe, nakusifu
Juu hii mboka imejipa ina ni nice nikijua for my freedom
That you had to pay the price
So ukiona nimechizi nikisifu usishangae

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Sifu Bwana (Single)


Copyright : (c) 2022 Blu Ink Corp.


Added By : Huntyr Kelx & Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KHALIGRAPH JONES

Kenya

Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in ...

YOU MAY ALSO LIKE