Rada Safi Lyrics
Rada safi, rada safi
Omollo dongo, generous, hapana ngati
Doh nimekafunga siezi mind kupanda basi
Naishi vile nataka huwezi kunibamba umati
Don Pablo, proof kandarasi
I make a living na kalamu karatasi
An entertainer, though sipendi sarakasi
Kiki na izi kasheshe za media na paparazzi
Rada safi, rada safi
Utajuaje nina moti kama hujarada car keys?
Na ka ni nduthi, brand ka wasaki
And do I have to dumb it down? Ju inakaa hawapati
Ka hawataki mi nasema sawa basi
Bora leta usingore tukipiga harakati
'Cause I'm an artist na nina require ukarabati
Kuroga vile naroga zimeriet rada safi
Rada safi ayy, rada safi, rada safi, rada safi, rada safi
Najipuliza marashi, ndo nifike party ju rada ni safi
Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi
Rada safi, rada safi, for success kijana anakuanga thirsty
I do my best, ju mi sitaki blunder trust me
Kuishiwa when am still at the top, kama Tuskys
Man I'm bad still humble ju anatouch streets
Mi lawama kijana hapana ass kiss
Rada safi nikishajengea madha kasri
Another plus G, I guess it makes a brother happy
Warazi wanataka niende, mi hu-wonder wapi?
'Cause studio Sunday tu Sunday napanga tracki
I'm so attached to the hustle
Jaribu ulete zogo nikufanyie venye Redsan alifanyia Sapit
Hapa nafasi ju leo sijakam na kasi
Mdogomdogo ndo pace omera you don't want to rus me
Position one iyo story ya namba last
Zii, track deep ivo ndo venye mi humurder verse, sheesh
Hush please unajifanya huoni pamba safi
Black jeans chini na juu nimeng'ara shati
Inaakaa Versace but nilibuy ngara last week
I know I said I'm rich, lakini hasara staki
Rada safi ayy, rada safi, rada safi, rada safi, rada safi
Najipuliza marashi, ndo nifike party ju rada ni safi
Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi
Ni mara ngapi ntawasho eti rada safi?
Na rapper ka mi ndo mpate, you rather lucky
Papa Jones baba yenyu mi ndo baba rasmi, lastly, thanks G, buda rada safi
Nko chini ya waba nagather mkwanja nasaka cash mi
Usinibother naa ka una za ufala ju pesa otas bi
Na biashara ni biashara, so ata ukicatch diss
Sinanga umama za kukujibishana na rap beef
Rada chafu ni rada safi, na ka rada haina Khali iyo rada haina ladha basi
I come in peace ka vipande za mananasi
And if man dem wana hate, then definitely man a bad ting
Bonga choo na drink yako ntaichanganya na Harpic
Last ** kuzu alibaki hana heartbeat
I'm a tough street ** but only if you attack me
But holy Joe, juu kila Sunday mi hufikanga church six
Rada (Safi), album (Classic), platinum (Aki)
Mada (Graphic), jah jah (Gat me)
Damn, that's justice asanti kuniskiza, God bless it's a wrap peace
Rada safi ayy, rada safi, rada safi, rada safi, rada safi
Najipuliza marashi, ndo nifike party ju rada ni safi
Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
KHALIGRAPH JONES
Kenya
Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in ...
YOU MAY ALSO LIKE