Chocha Lyrics
Ehh hehe
Eti naskia nyi hupenda kuchocha, sindio?
Acha tuchoche basi (Shout-out to Vinc on the beat by the way)
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupea notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
Check it it's omollo once again na injili wanapenda
Other than Rap bado ni mwili ninajenga
Doba napiga buda mithili ya benga
Popularity imefanya nibadili mamrenga
Bad mind kisirisiri anatengwa
An omollo feature ni ka firifiri kwa demba
Cheki ule boy wa chili chili analengwa
Backup ya ma label ka mekatilili wamenza
Ukijibizana mtaa itakudhuru
Ukibishana naku-tax ushuru
Mlibanja sana hamtaki
Uhuru Sahi imebamba sana wapi nduru
Ehh hatuendi maandamano "Baba inta-maintain kanyo kanyo"
Mr president ongeza mwika tano
Na nyi wakenya lazma mkuwe na msimamo
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupea notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
Ndo upate views ubaki ndethe you may earn more
A Genge grammy tungeletewa na kansoul
Sahi kenya ni ka hakuna reggae ama dancehall
Ndo konshens ako ju ya ngwete hapo
Sunford We ball on a budget strictly
Hatupendangi burden sisi
Oyole ilifanya nijue ku-bargain fiti
Free park ndo only reason niko garden city
If they charge me na tailgate mr partel
Vibes tu hauwezi taka beef na cartel
I had tu-make a choice either streets ama cell
Ju mtaa sikuizi maboiz wana-snitch na lapel
The new definition of kidungi Umejipin?
Ehh wee ni fundi? Wee ni gangster?
Uko na kikundi? Shut the fuck up bro-olundi
Hehe mna-glorify chocha
Mumearibu mziki mnafanya hii job haikai mboka
Hii story haikai proper Boy child anakapitia coz sahi hatujui ka
Tory atawai toka Bloggers hawa-verify story
Tu all victims wako terrified sorry
Chocha imedu hii game ikae boring
Na nyi mpasho bitch i hope you die slowly- bombo
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupea notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
Buda kila kitu chocha
Chocha chocha Kila kitu chocha
Chocha chocha Aaaah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : LusasiMobileSolutionsLtd
SEE ALSO
AUTHOR
KHALIGRAPH JONES
Kenya
Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in ...
YOU MAY ALSO LIKE