Home Search Countries Albums

Shujaa Wa Msalaba

KAMIKAZ DU ZOUGLOU

Shujaa Wa Msalaba Lyrics


Nashukuru eeeeee 
Mwokozi wangu Yesu 
Nashukuru eeeeee
Mwokozi wangu Yesu
Nashukuru yayayayaya

Kwa msalabani Yesu alichukua
Heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale calivari ili 
Tuokolewe 
Akatukomboa Alisulubiwa pale calivari ili tuokolewe
Yesu Yesu Wewe Ni msaada wewe Ni mkombozi
Wa Ulimwengu

Kujitoa ningekua wapi Mimi 
Uuinuliwe 
Ubarikiwe Milele 
Huyu Yesu Alisulubiwa pale Calivari
Ili tuokoleweKwa msalabani Yesu alichukua
Heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale calivari ili 
Tuokolewe 

Eeeeeeeh Ni Asante Baba kwa upeno wako 
Ulivyotupenda 
Hakuna Kama wewe 
Wewe Ni Baba 
Unastahili Jehovah 
Alichukua heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale Calivari ili tuokolewe
Kwa msalabani Yesu alichukua
Heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale calivari ili 
Tuokolewe 
Yesu Wewe Ni wa Rehema 

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Shujaa Wa Msalaba (Single)


Copyright : ©2020


Added By : Its marleen

SEE ALSO

AUTHOR

KAMIKAZ DU ZOUGLOU

Côte d'Ivoire

Kamikaz du Zouglou is a Zouglou music group from Cote D'ivoire. ...

YOU MAY ALSO LIKE