Yanitosha Lyrics

Nimesulubiwa nae, lakini mi niko hai
Si mimi tena, Kristo ndani yangu
Nitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingi
Ili uweza wake ukae juu yangu
Yote nitendayo ni kwa imani
Sitaibatili neema ya Mungu kamwe
Yanitosha neema ya mungu
Ndio uzima kuyatambuwa
Kwenye mapungufu yangu
Ndipo nguvu zake Zatiimiya
Kwenye mapungufu yangu
Ndipo nguvu zake Zatiimiya
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Yanitosha neema ya mungu
Ndio uzima kuyatambuwa
Kwenye mapungufu yangu
Ndipo nguvu zake Zatiimiya
Kwenye mapungufu yangu
Ndipo nguvu zake Zatiimiya
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
Sio mimi Tena, Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : ©12stonesRecord
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ISRAEL MBONYI
Rwanda
ISRAËL MBONYI born ISRAËL MBONYICYAMBU on May 20th 1992 in the Southern province of ...
YOU MAY ALSO LIKE