Nitaamini Lyrics

Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini
Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme
Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa
NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya
Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu
Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu
Si na mashaka wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote, Bado nitaamini

Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,We ni chemchem ya uzima

Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini
Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini
Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : ©12stonesRecord
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ISRAEL MBONYI
Rwanda
ISRAËL MBONYI born ISRAËL MBONYICYAMBU on May 20th 1992 in the Southern province of ...
YOU MAY ALSO LIKE