Home Search Countries Albums

Wasamehe Lyrics


Wakikutolea matusi wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe
Wakikuonyesha chuki wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe

Wanasema wasanii ni kioo cha jamii
Shetani anapasua vioo vya jamii
Ukijaribu kuenda juu unavutwa chini
Kwake ukituliza inawafaidi nini

Kikulacho ki nguoni mwako
Rafiki yako ndo adui yako
Unakula naye unalala naye kwako
Akitoka anasema ya kwako

Kikulacho ki nguoni mwako
Rafiki yako ndo adui yako
Unakula naye unalala naye kwako
Akitoka anasema ya kwako

Wakikutolea matusi wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe
Wakikuonyesha chuki wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe

-----
Victor Rude Boy
-----

Wakikutolea matusi wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe
Wakikuonyesha chuki wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe

Wakikutolea matusi wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe
Wakikuonyesha chuki wasamehe, wasamehe
Mungu anawaona wasamehe, wasamehe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Wasamehe (Single)


Copyright : (c) 2021 7 Heaven Music


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GUARDIAN ANGEL

Kenya

Audiphaxad Peter, better known as Guardian Angel, is a Gospel afrorap and dancehall singer and Songw ...

YOU MAY ALSO LIKE