Heri Wamtumainio Lyrics
Heri wamkimbiliao bwana
Wamkimbiliao bwana
Heri wamkimbiliao bwana
Watapata baraka
Vijana wamkimbiliao bwana
Wamkimbiliao bwana
Heri wamkimbiliao bwana
Watapata baraka
Wazee wamitegemeao bwana
Wamitegemeao bwana
Heri wamitegemeao bwana
Watapata baraka
Wamama wamtumaimio bwana
Wamtumaimio bwana
Heri wamtumaimio bwana
Watapata baraka
Heri wamtumaimio bwana
Wamtumaimio bwana
Heri wamtumaimio bwana
Watapata baraka
Heri wamtumaimio bwana
Wamtumaimio bwana
Heri wamtumaimio bwana
Watapata baraka
Wote wamtumaimio bwana
Wamtumaimio bwana
Heri wamtumaimio bwana
Watapata baraka
Heri wamkimbiliao bwana
Wamkimbiliao bwana
Heri wamkimbiliao bwana
Watapata baraka
Wale wamtegemeao bwana
Wamtegemeao bwana
Heri wamtegemeao bwana
Watapata baraka
Wale wamtegemeao bwana
Wamtegemeao bwana
Heri wamtegemeao bwana
Watapata baraka
Heri wamtumainio bwana
Wamtumainio bwana
Heri wamtumainio bwana
Watapata baraka
Wote wamtumaimio bwana
Wamtumaimio bwana
Heri wamtumaimio bwana
Watapata baraka
Viumbe vyote wanamuhitaji
Ni yeye messiah
Viumbe vyote wanamuhitaji
Ni yeye messiah
Viumbe vyote wanamuhitaji
Ni yeye messiah
Viumbe vyote wanamuhitaji
Ni yeye messiah
Wanainama waninuka
Mbele zake baba
Wanainama waninuka
Mbele zake baba
Viumbe vyote wanamushujudu
Ni yeye messiah
Viumbe vyote wanamushujudu
Ni yeye messiah
Viumbe vyote wanamuinau
Ni yeye messiah
Viumbe vyote wanamuinau
Ni yeye messiah
Wanainama waninuka
Mbele zake baba
Wanainama waninuka
Mbele zake baba
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe mwanzo na mwisho
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
GUARDIAN ANGEL
Kenya
Audiphaxad Peter, better known as Guardian Angel, is a Gospel afrorap and dancehall singer and Songw ...
YOU MAY ALSO LIKE