Atawale Lyrics
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Shetani amekufanyia mikuki na mapanga
Nia yake ya kushusha ukipanda
Amekuwekea mizigo ya laana
Amekufanyia mikuki na mapanga
Nia yake ya kushusha ukipanda
Amekuwekea mizigo ya laana
Mwachie Yesu apigane vita vyako
Mwachie Yesu atatue shida zako
Mwachie Yesu aongoze njia zako
Atawale, atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale, atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Mwachie Bwana akutetee unapothulumiwa
Mwachie Bwana akutetee unapodharauliwa
Mwachie Bwana akutetee unapohukumiwa
Mwachie Yesu akutetee, akutetee
Mwachie Yesu apigane vita vyako
Mwachie Yesu atatue shida zako
Mwachie Yesu aongoze njia zako
Atawale, atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale, atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale, atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale, atawale tu
Mwachie Yesu atawale
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Atawale (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GUARDIAN ANGEL
Kenya
Audiphaxad Peter, better known as Guardian Angel, is a Gospel afrorap and dancehall singer and Songw ...
YOU MAY ALSO LIKE