Nipokee Lyrics

Siwezi sema sili, huwa nalaga
Ila nikikuwaza hamu inapotea
Siwezi sema silali, huwa nalala
Ila nikikuota usingizi huwa unapotea
Tatizo ushasema hunipendiii
Na tena ukasema huniwazi kamwe
Mwenzako nishatubu nisamehe
Nipo njiani nipokee
Nipokee, narudi nyumbani
Nipokee, nipo njiani
Nipokee, changu kipenzi
Nipokee!!
Nipokee, narudi nyumbani
Nipokee, nipo njiani
Nipokee, changu kipenzi
Nipokee!!
Kama ni pombe nishakata sinywagi tena
Nile mirugi ushadata sichongi tena
Na ile mipango ya pembeni nishaipiga teke
Nibaki wako peke yako tena usitete
Tatizo ushasema hunipendiii
Na tena ukasema huniwazi kamwe
Mwenzako nishatubu nisamehe
Nipo njiani nipokee
Nipokee, narudi nyumbani
Nipokee, nipo njiani
Nipokee, changu kipenzi
Nipokee!!
Nipokee, narudi nyumbani
Nipokee, nipo njiani
Nipokee, changu kipenzi
Nipokee!!
Hakuna mwanadamu aliye kamili asiyekoseaga
Jambo kupishana kwa mapenzi inatokeaga
Na usiseme yakimwagika hayazoleki roho inaniuma
Watu huteleza na kuanguka na kuinuana
Oooh nipokee, ooh nipokee
Oooh nipokee, ooh nipokee
(Ihaji made it)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : V the Album (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BROWN MAUZO
Kenya
Brown Mauzo whose real name is Fredrick Mtinda was born on 31st December. He is a Kenyan musician wh ...
YOU MAY ALSO LIKE