Home Search Countries Albums

Mawazo Remix Lyrics


Kwake ningefanya nini?
Na kosa silijui kashanihukumu
Dhorobo wa mapenzi 
Nikipenda nang'ang'ania

Aliponisema wa nini
Na udhaifu wangu nusura ninye sumu
Na hata hakujali
Ka tahira kutwa nikalia

Na nikisema nimwache siwezi
Kutwa ni vita kwa penzi
Ooh huku sina raha
Kule mwenzangu ye anafuraha

Mwambie ni yeye ndo teuzi
Sitaki kunguru weusi
Kutwa no landa, kwa majala

Aje anitoe mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)
Aje anitoe  mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)

Yeah kaa la moto
Sina sauti nzuri ila ningekuimbia waridi
Umenizidi spidi Kipchoge amenitia baridi
Machozi na huzuni kwa jicho ishara ya widi
Hivi najiuliza ni gaidi ana gun analiteka jiji

Mradi tutakufa wote kama Okoth na Cancer
Niambie nini nimekosa pia naride ka Black Panther
Akothee acha, hapo utalamba kapa
Walokuzunguka Mark walizuga sijanata ndo ukaniacha

Nahisi jua unaniwakia vibaya, ngozi nakuwa
Kuanzia jeans mpaka shati nikizivaa hazinikai sawa
Niombeeni hata dua mwana wa watu ataniua
Maamuzi aliyochukuwa ni sawa kumfichia dawa anayeugua

Mwambieni, ile nafasi yake bado ipo
Iko full sio 50/50 ka gospel za Willy Paul
Sijamaliza upishi we njoo univunjie mwiko
Napuuzia ....

Aje anitoe mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)
Aje anitoe  mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)

Ningekuwa maradhi, ningekunywa dawa
Pendo ni uchizi, nishapagawa
Kitanda ni mbizi, sipati usingizi
Ye ndo mwuuguzi  eeh

Ayee, ningejua sababu 
Ladha moyo ungetua, ayee
Mwenzake namuuguaga 
Asije niua 

Oooh mwambie yeye ndo tausi
Sitaki kunguru weusi
Kutwa na randa
Kwa majalala 

Aje anitoe mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)
Aje anitoe  mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : V the Album (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BROWN MAUZO

Kenya

Brown Mauzo whose real name is Fredrick Mtinda was born on 31st December. He is a Kenyan musician wh ...

YOU MAY ALSO LIKE