Rae Rae (Zimenishika) Lyrics
Uwachome na kingoto,
Riets zimeshika cheki design fulani
Niko jaba nimechonga tu hii majani
Na kiwada na kichaser tu ni Konyagi
Wai tire ndo uchome tu kiubani
Ni mashada za Ngomongo au Wendani
Nimwage rangi ju ninagushia fangi
Piga chingi ju mapopo wana jagi
Nina tingi na nunu imepigwa radi
Unapenda kanuthu ama muratish
Unapenda mandugu uvue panty
Unapenda kiluku uvue shati
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Leo tuna bash, kuingia das
Tulipishi ras anatulandisha mars
Formae ya wasioti fomae zilae
Mabati boy coke fest man riembae
Chafua meza na madem wote wamevai
Lugha shaghalae kila msanae arae
Ukeji ya mababi ndo sitaki
Umahuru ya wanati siwezani
Kam na jeshi nina genge itapita na kambi
Acha malawi siku hizi ni mashasha mani
Wenye dhambi wako kanisani
Si tuko mitini, tuko majani
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Napenda rizla ah, ile ya flavour ah
Okwonko kuchoma ndio napenda ah
Majirani wasororaji wanaudhi
Inabidi nikichoma manze niwashe udi
Rae rae mi napenda gwae
Ah niko high juu ya mlima Sinai
Nikichoma kolo dem namkemba
Hadi iyo punyeto inabonga
Roll kikolombo nda
Tunahot box roro kushoto, ngwa
Na ka mogox pedi wa Ololo
Manguna ni wa Ngong road
Cheza hizi ngengeton, toa hizo Bongo
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
Rae rae, zimeraerae
Mapangae tewae zimeshika wasanae
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Rae Rae (Zimenishika) (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BOONDOCKS GANG
Kenya
Boondocks Gang: members include ( Exray, Odi wa Murang'a and Maddox ) is the Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE