Home Search Countries Albums

Mento Remix

BANDO Feat. MR BLUE, DAYOO

Mento Remix Lyrics


Mzee nimekuwa mtoto natambaa
Nyumba imewaka moto sina pakukaa
Yale yaliokuwa ndoto nayaona live
Ex kaa kushoto Kata simu tuko site
Tumebanana tuko taiti
Nisex ,ganja na nyama the whole night
Mapenzi kupambana tuna vibles
Mambo fresh baby mama twende left and right

Kama dozi we kwinini (kwako ni mento)
Wanawaza tuachane lini  (nimeshaseto )
Tunawakata ndimi  (mpaka kesho)
Onana onana bebi (we special)
Kwanza tuna match, wengi wana ntatalila wengi wanatantalila
Usinipige bench wengi wanatantalila wengi wana tantalila

Chakwanza unanishangaza
Pili unanikoleza ooh baby ntakuweka kwenye bango nitangaze
Vikopakopa umejaza udambwi dambwi chombeza
Ooh baby ntakumilikisha akili uitawale
Kwako mi ni (me!! Me!!mento )
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi nimento baby oooh

Ntaambia nini waulimwengu siku ukinipiga chini
Nitaificha wapi sura yangu hapa mjini
Kuhusu michepuko mapambano umeshawini
Usishindane na sindano mama we Bonge la pini
Nishakupa chance ,nipende mpaka basi
Mpaka wanaonidiss siku moja watu discuss
Nakupa. A Max ,ma ex sasa basi
Watanyoosha maelezo bila kutumia pasi

Kama dozi we kwinini (kwako ni mento)
Wanawaza tuachane lini (nimeshasettle)
Nawakata ndimi (ukiibuka geto,unawapa joto,wape na lesso)
Kwanza tuna match, wengi wana ntatalila wengi wanatantalila
Usinipige bench wengi wanatantalila wengi wana tantalila

Chakwanza unanishangaza
Pili unanikoleza ooh baby ntakuweka kwenye bango nitangaze
Vikopakopa umejaza udambwi dambwi chombeza
Ooh baby ntakumilikisha akili uitawale
Kwako mi ni (me!! Me!!mento )
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi nimento baby ooh

Nishazifunga mboni bebe (bebe)
Nipo kwa bedi njoo ni bebe (bebe)
Mtoto kashasimama dede (dede)
Njoo Urambe corn bebe (bebe)
Na ahidi niwe nawe milele,naahidi niwe nawe milele
(Shytown boy)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mento Remix (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BANDO

Tanzania

Bando is a hiphop artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE