Chobo Lyrics

Vunja miguu twende polepole kama kobe
Fanya kama kangaroo
Twende polepole kama kobe
(Ilogos)
Weka niweke, weka weka niweke (Ah weka)
Weka niweke, weka weka niweke (Ah weka)
Weka niweke, weka weka niweke (Ah weka)
Weka niweke, weka weka niweke
Cho chobo, cho chobo
Cho chobo aiyeyeyeyeye
Cho chobo, cho chobo
Cho chobo aiyeyeyeyeye
Nyandua, nyandua
Nyandua, nyandua
Nyandua, nyandua
Aiyeyeyeyeye yii
Nanuna nuna
Nanuna nuna
Nanuna nuna
Aiyeyeyeyiii
Tunajipuliza, tunajipu
Tunajipuliza, tunajipu
Tunajipuliza, tunajipu
Tunajipuliza, tunajipu
Pewa pewa (Pewa)
Pewa pewa (Pewa)
Lewa lewa (Lewa)
Lewa lewa (Lewa)
Mpewe msipewe (Pewa)
Ah mpewe (Pewa)
Mlewe msilewe (Lewa)
Ah tulewe (Lewa)
Weka niweke, weka weka niweke (Ah weka)
Weka niweke, weka weka niweke (Ah weka)
Weka niweke, weka weka niweke (Ah weka)
Weka niweke, weka weka niweke
Cho chobo, cho chobo
Cho chobo aiyeyeyeyeye
Cho chobo, cho chobo
Cho chobo aiyeyeyeyeye
Vunja miguu twende polepole kama kobe
Fanya kama kangaroo twende polepole kama kobe
Vunja miguu twende polepole kama kobe
Fanya kama kangaroo twende polepole kama kobe
Aiyeyeyeyeye, aiyeyeyeyeye
Utembeee, Utembeee, Utembeee!!
(Ilogos Music yeah yeah)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Chobo (Single)
Copyright : (c) 2021 Utembe World
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ARROW BWOY
Kenya
Arrow Bwoy real name Ali Yusuf born born May 26th in Huruma Nairobi Kenya, is a Keny ...
YOU MAY ALSO LIKE