Home Search Countries Albums

Blessing Lyrics


Mmmhh Angella

Mziki kwangu me ulikuaga ndoto
Na sikuitimiza kwa kulala
Napitia nyingi changamoto
Yote kuukimbia ufukara
Kipindi naungaunga kwenye soko
Yan nasongesha miamala
Nikoana tu nijuinge na jeshi
Ilimradi name niwe imara aah
Jeshi lilifanya nijipindee
Ilimradi tu na mimi niwe juu
Plan nije kuwa komando jide
Ama niwe amiri jeshi mkuu
Yalipoanza mambo ya gwaride
Hapo nikanyooshamikono juu
Kilichofanya yanishinde
Ni matatizo ya miguu
Waliponiacha macho juu
Na kuninyamazisha mdomoo
Me ninatatizo la miguu
Wa wakaniunga mkonoo

Nitaka mchoyo wa fadhira kwenye maisha yangu
Nikiacha kushukuru
Maana amani ya moyo wangu
Naomba mungu wangu uniangazie nuru
Na nikisema nilikopita njia ilikua mbaya
Nitakua nakufuru
Huendapengine mungu wangu alipanga
Nipite ili nije kufaulu

Eeh i feel bless bless
Coz God have mercy
Hata kama ulichonaoho mie sing mmh
Eeh i feel bless bless
Coz God have mercy

Me nilishafeli mara kadhaa
Na maisha mbona yangenishinda
Kama ningekalaga tama
Eeh acha nisonge mbele kwa hekima
Walisema watasimama nami
Wamevuta kiti wamekaa
Eh kuna muda unupitia simanzi
Usiku na mchana
Jitahidi kufanya kazi
Ipo siku utasimama
Me nimetokea uswazi
Uswahilini sana
Kwetu hakuna ugomvi
Ila watu wanapambana
Kuna muda mapenzi
Yanaweza yakakutoa kwenye reti
Maana kuna wapenzi wanapenda
Kukuona unavyofeli
Na tatizo la mapenzi, mapenzi yana nguvu kweli kweli
Kwani we hukusikia
Kuna muwa huko ulizamsha meli eeh

Nitaka mchoyo wa fadhira kwenye maisha yangu
Nikiacha kushukuru
Maana amani ya moyo wangu
Naomba mungu wangu uniangazie nuru
Na nikisema nilikopita njia ilikua mbaya
Nitakua nakufuru
Huendapengine mungu wangu alipanga
Nipite ili nije kufaulu

Eeh i feel bless bless
Coz God have mercy
Hata kama ulichonaoho mie sing mmh
Eeh i feel bless bless
Coz God have mercy

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Blessing (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ANGELLA KATATUMBA

Uganda

Angella Katatumba is an artist from Uganda. ...

YOU MAY ALSO LIKE