Genye Genye Lyrics
Babere babobore
Genye! Genye!
Oooh baby booo
I love the way you move your body hehehe
Mi ndio penzi ready sio counselor(Counselor)
Tuconnect kama antenna(Antenna)
Nitakupa penzi la kisela(La kisela)
Nitakupa penzi la kisela
Sura shepu we mzuri
Nakupa mia si sufuri
Hivi nata nata
Mi nakufuata fuata
Aaah eeh aah
Unavyoringisha ringisha mama
Aaah eeh aah
Basi biringa biringa mama
Genye! Basi dance baby
Genye! Polepole slowly
Genye! Kama unapiga deki
Genye! Genye! Genye!
Genye! Msichana mzuri wee
Genye! Pole pole mama
Genye! Napenda vile unadeki
Genye! Genye! Genye!
(Masauti Kenyan Boy)
We mama akili ushaipora
Ni kama umenichapa na bakora
Hebu ingia katikati beiby
Na vile unadu mpaka wanakoma
Navua shati beiby, chini kitu juu
Napenda unavyongonga
Nimeng'oa nimeseti(Genye)
Nimesimama nawe uketi(Genye)
Napenda unavyo vibrate(Genye)
Ndani ndani nnje mi sitoki(Genye)
Aaah eeh aah
Unavyoringisha ringisha mama
Aaah eeh aah
Basi biringa biringa mama
Genye! Basi dance baby
Genye! Polepole slowly
Genye! Kama unapiga deki
Genye! Genye! Genye!
Genye! Msichana mzuri wee
Genye! Pole pole mama
Genye! Napenda vile unadeki
Genye! Genye! Genye!
Babere babobore, babobore
Babere babobore, babobore
Babere babobore, babobore
Babere babobore, babobore
Genye! Babobore
Genye! Babobore
Genye! Babobore
Genye! Babobore
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Genye Genye (Single)
Copyright : (c) 2020 Dream Nation.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE